Jiachie na huduma zote za kibenki mtaani kwako kupitia mtandao wetu mkubwa wa wakala nchi nzima.

Faida ya CRDB Wakala mtaani kwako

 • Wakala anaokoa muda wako kwa kukupatia huduma ya haraka zaidi na kwa uhakika bila foleni.
 • Wakala amekuondolea gharama ya kwenda umbali mrefu kupata huduma za kifedha.
 • Wakala anakupa huduma muda wowote tofauti na tawini ambapo kuna muda maalumu wa kutoa huduma .
 • Unapata kujua kuhusu huduma zetu na bidhaa kwa ukaribu zaidi mtaani kwako .

Huduma zinazotiki na CRDB Wakala

 • Kufungua akaunti.
 • Kuweka na kutoa pesa kutoka akaunti ya CRDB.
 • Kulipa bili mbalimbali ikiwemo Luku, maji, ving’amuzi bure.
 • Kufanya malipo ya serikali kupitia namba za malipo ya GePG na TRA.
 • Kupata taarifa fupi ya akaunti.
 • Kutuma na kupokea pesa kutoka na kwenda akaunti yoyote ya Benki nchini
 • Kufanya malipo ya hospitali.

Kuza kipato cha biashara yako kwa kujiunga na CRDB Wakala.

Ongeza ufanisi wa biashara na wigo wa wateja mtaani kwako.

Jiunge sasa