Cash sio mpango tena, fanya malipo yako mtandaoni kwa TemboCard na kulipia kupitia mashine zetu za POS muda wowote bila makato. 

Faida ya kuwa TemboCard

  • Pata urahisi wa kufanya malipo ya muvi, shopping na kadhalika mtandaoni muda wowote ukiwa nyumbani.
  • Nunua vitabu na kulipia masomo mtandaoni ukiwa nyumbani bila makato.
  • Kuwa karibu na akaunti yako 24/7 popote ulipo.
  • Ishi kidigitali kwa kutuma pesa kwenda nchi yoyote ile Afrika Mashariki na kupokea pesa kutoka popote pale duniani kwa kadi yako tu.

Huduma zinazotiki na TemboCard

  • Kufanya malipo mtandaoni bila makato.
  • Kutoa pesa kwenye mashine yoyote ya ATM yenye nembo ya VISA, MasterCard na Union Pay ndani na nje nchi.
  • Kufanya malipo bila cash kwenye mashine zetu za POS bure.
  • Kufanya malipo kwa ku-Scan QR code kupitia App ya SimBanking

Lipa kwa urahisi na haraka bila makato.

Pata Kadi