Furahia huduma zetu kwa kufanya miamala mbalimbali ya kifedha kupitia simu yako ya mkononi muda wowote.

Pakua App

Huduma zinazotiki na SimBanking

  • Kulipia bili mbalimbali kama LUKU, maji na malipo ya Serikali hadi Shilingi Mil. 10 kwa siku bila makato
  • Kununua muda wa maongezi bure kwaajili yako na wengine uwapendao.
  • Kutuma pesa kwa mtu asiyekuwa na akaunti ya Benki au kadi ya ATM.
  • Kupata mikopo papo hapo kupitia Salary Advance au Boom Advance.
  • Kutuma na kupokea pesa kutoka na kwenda akaunti yoyote ya Benki nchini.
  • Kupata taarifa ya akaunti yako.

Fahamu jinsi ya kujisajili na SimBanking kwa urahisi zaidi kupitia mashine zetu za ATM

Kimbiza miamala yako upendavyo.

Kupata huduma za SimBanking piga *150*03# au

Pakua App