Wenzako zaidi ya 240 wanazawadiwa kila siku.  

Unasubiri nini?

Weka Akiba Sasa

Jinsi ya kujipa 5

Ni rahisi sana  

Weka au tuma pesa sasa kwenda kwenye akaunti yako yoyote ile ya akiba iwe ni;

 • Akaunti Binafsi
 • Akaunti ya Niamoja
 • Akaunti ya Wastaafu
 • Akaunti ya Tanzanite
 • Akaunti ya Thamani
 • Akaunti ya Dhahabu
 • Akaunti ya Muda Maalumu
 • Akaunti ya Scholar
 • Akaunti ya Akiba
 • Akaunti ya Malkia
 • Akaunti ya Junior Jumbo
 • Akaunti ya Fahari Kilimo

Utakua umejiweka kwenye kundi la wateja zaidi ya 240 kuzawadiwa kila siku.  

Njia za Kujipa 5

Furaha ni pale unapoongezewa kwenye kile kidogo ulichokuwa nacho. Hizo njia mbalimbali za kujipa 5 kupitia njia zetu za kibenki.

Jipe 5 kwa SimBanking

Tuma pesa kutoka kwenye mitandao ya simu kwenda kwenye akaunti yako ya akiba ya CRDB kupitia SimBanking na uwe mmoja kati ya wateja zaidi ya 240 kuzawadiwa. Piga *150*03# kupata menu ya SimBanking au Pakua App ya SimBanking.

Pakua SimBanking App

Jipe 5 kwa Internet Banking

Kama wewe ni mmoja kati ya wateja wanaopokea malipo kupitia Internet Banking, hakikisha malipo yako yanafikia kwenye akaunti yako yoyote ya akiba ya CRDB.

Jipe 5 kwa Wakala

Weka pesa kwenye akaunti yako yoyote ya akiba kupitia kwa CRDB Wakala aliye karibu yako na utakua mmoja kati ya wateja zaidi ya 240 kuzawadiwa kila siku.

Jipe 5 Tawini

Tembelea Tawi letu lolote lililo karibu nawe kuweka akiba yako ili ujiweke kama mmoja kati ya wateja 240 kuzawadiwa kila siku.

Vigezo na Masharti