Fanya miamala mikubwa ya kiofisi au ya kibiashara ukiwa popote.  Ni rahisi na salama kupitia Internet Banking. 

Anza Sasa

Faida ya kuwa na Internet Banking

 • Hakuna makato ya mwezi.
 • Kamilisha miamala yako papo hapo kwa urahisi.
 • Pata uhakika wa huduma zetu 24/7.
 • Ni njia sahihi ya kufanya miamala mikubwa kwa usalama .

Huduma zinazotiki na Internet Banking

 • Kulipa malipo ya mkupuo kama mishahara.
 • Kutuma pesa kwenda benki nyingine ndani ya nchi (TISS).
 • Kuhamisha pesa kwa sarafu mbalimbali (multi currency transfers).
 • Kutuma pesa kwenda nje ya nchi (SWIFT).
 • Unaweza kufanya miamala ya kujirudia BURE (standing order) kwa urahisi .
 • Kufanya malipo ya serikali bure.
 • Kupata taarifa za akaunti yako.

Fanya miamala mikubwa ya kibiashara ukiwa popote.

Anza Sasa